Wanaharakati wa mashirika yanayopambana
na dhulma dhidi ya wanawake huko Kenya na Tanzania wanatowa wito kwa serikali
na watu wote kushirikiana kupambana na tatizo la ubakaji.
Katika kipndi cha "Live Talk", Saida Ali mkurugenzi wa Shirika la kupambana na Dhulma dhidi ya Wanawake nchini Kenya, COVAW, anaema tatizo la ubakaji limeongezeka na kunahitajika juhudi za pamoja kuelimisha watu na kupambana na janga hilo.

Lilian Liundi mkuu wa kitengo cha
habari cha mtandao wa jinsia TGNP nchini Tanzania anasema vitendo vya dhulma na
ubakaji dhidi ya wanawake vinaongezeka siku hadi siku.
"Katika uchunguzi uliofanywa 2002 kulikuwepo na wanawake 3 331 waloripoti kubakwa na uchunguzi kama huo ulofanywa 2007, unaonesha kulikuwepo na wanawake na wasichana 8 774 waloripoti kubakwa. Hiyo ni ongezeko kubwa kabisa na hao ni wale wanaripoti kwani wengi wanaogopa kuripoti kuwa wametendewa vitendo vya dhulma." anasema Bi.Liundi.
Nae Mkurugenzi wa kundi linalowasaidia walonusurika na ubakaji Kenya GVRC Bi. Alberta Wambua, wengi wa wanawake na wasichana wahaoomba msaada kutoka kundi lake, wanakuwa waoga kwenda kuripoti juu ya vitendo viovu waloshuhudia.

Chanzo: VOASwahili
No comments:
Post a Comment