Maandamano Misri
Polisi nchini Misri wanaripotiwa
kuwarushia vitoa machozi waandamanji wanaliunga mkono kundi lililopigwa
marufuku la Musllim Brotherhood.
Vyombo vya habari vya serikali
vilisema kuwa waandamanaji waliokuwa wakilishutumu jeshi walikusanyika kusini
mwa mji wa Cairo baada ya maombi ya siku ya Ijumaa.
Walinda usalama zaidi wamepelekwa
mjini Cairo baada ya wito kutoka kwa kundi la Muslim Brotherhod kwa wafuasi
wake wa kuwataka kufanya maandano ya kupinga uamuzi wa aliyekuwa mkuu wa
majeshi Abdel Fattta al- sisi kuwania urais nchini Misri.
Misri imekumbwa na manadamno na
ghasia tangu kuondolewa madarakani kwa rais Mohammed Mosri mwaka mmoja
uliopita.
Chanzo: BBC Swahili
No comments:
Post a Comment