Friday, March 28, 2014

TUNDURU INA WENYEWE, NA WATU WENYEWE NDIO SISI

Picha ni Stendi ya Nandembo huko Wilayani Tunduru. Ni miongoni mwa vijiji Vyenye Historia ya Aina yake. Yapata Miaka mingi sana hata Mama Yangu Mzazi aliwai kusoma chuo cha Maendeleo Nandembo. Tunajivunia kuwa na Tunduru lakini swali la kujiuliza ni kwwamba je hiki chuo kimesahauliwa au ndo kimepotea kwenye ramani. Mungu ibaliki Tunduru the land of the people. 

No comments: