Wednesday, March 26, 2014

NAIPENDA TUNDURU NA VIVUTIO VYA WILAYA "MILIMA MIWILI"

Hapo Juu ni picha ya Mlima Milima Miwili unaopatikana Tarafa ya Nakapanya karibu na Kijiji cha Mchangani Wilayani Tunduru. Ni sehemu yenye mvuto wa aina yake kama unavyoonekana hapo mbele. Panaitwa Milima Miwili kwa sababu kuna milima miwili na barabara inapita kati kati

No comments: