Makala Time Na Chiwambo
Hiyo siyo kauli yangu bali ni Rais P.
W. Botha aliyeendesha Ubaguzi wa rangi Afrika Kusini miaka ya 1980. Kauli yake
isipuuzwe na izingatiwe vilivyo katika bara letu. Ijapokuwa kauli yake
inakebehi na kuudhi kwa Waafrika lakini ina ukweli ndani yake. Nakupeleka hadi
maneno hayo yalipo kama ifuatavyo:
“Kaka zangu na dada zangu, Pretoria
imetengenezwa na watu weupe kwa ajili ya watu weupe na hatuna haja ya
kuuthibitisha umma au mtu mweusi kuwa sisi ni watu bora, tumekuwa
tukiwaambia watu weusi jambo hili kwa
njia elfu.
Africa kusini ya leo haikutengenezwa katika mawazo ya kawaida,
tumeitengeneza kwa kutumia akili nyingi, jasho na damu. Mnaposema kuwa
tunawabagua weusi sielewi.
Hivi ni Afrikaners ndio waliojaribu kusitisha kizazi cha Aborigines wa Australia? Je
ni Africaners waliotenga na kuwanyanyasa watu weusi Marekani kasikazini kwa
kuwaita niggaz?
Je, ni Africaners waliowatenga na kuwanyanyasa watu weusi huko England kwa
kuwatungia sheria ya kuwakandamiza? Canada, Ufarasa , Russia, na Japan nao wana
njia zao za kibaguzi. Hivi kwanini hasa kuna kelele nyingi dhidi yetu? Huu ni
uendawazimu! Kwanini wanatukaba koo kiasi hiki? Hawatundendei haki hata kidogo.
Nataka kuwaeleza kuwa hakuna kibaya tunachokitenda hapa ambacho hao
wanaojihita wako katika dunia ya ustaarabu wameacha kufanya. Sisi ni watu wema
tusio na hatia na ambao tumeweka wazi mfumo wa maisha ya tunayotaka tuishi kama watu weupe.
Sisi sio wanafiki kama wazungu wenzetu
wafanyavyo kwamba wanapenda watu weusi.
Ukweli kuwa weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambo kama binadamu hayawahalalishi kuwa wao ni watu wenye
akili timamu au binadamu aliyetimia. Kanunguyeye si nungunungu
na mijusi hawawezi kuwa mamba kwa sababu eti wanafanana.
Kama mungu alitaka
tufannane na weusi angetufanya wote tuwe na rangi moja na fikra sawa. Lakini
alituumba tofauti, weupe, weusi, wanjano, watawala na watawaliwa. Katika upeo
sisi ni bora kuliko weusi na hilo
halina ubishi kwani limejidhihilisha kwa miaka mingi iliyopita.
Naamini kuwa Africaner ni mtu safi, mwenye hofu na mungu. Ni mtu mbaye
ameonyesha kwa vitendo njia sahihi ya utu. Hata hivyo inafurahisha kuona Ulaya,
America, Canada, Australia
na wengine wengi wako nyuma yetu achilia mbali maeneo yao.
Kuhusu uhusiano wa kidemokrasia, sote tunafahamu lugha inayotakiwa
kutumika. Na kwa ushaidi ulio wazi hivi kuna mtu hapa asiyejua kuwa nchi nyingi
za Ulaya zina tamani kuwekeza Afika kusini.
Nani anayenunua dhahabu yetu, nani anayenunua almasi yetu? Nani anafanya
bihashara nasi? Nani anatusaidia katika kuendesha siraha za nyukilia? Ukweli ni
kwamba sisi ni watu wao na wao ni watu wetu. Hii ni siri kubwa. Nguvu ya uchumi
wetu inajengwa kwa kiasi kikubwa na America, Uingereza, na Ujerumani. Ni jambo
kubwa sana hili na kwa maana hiyo, mweusi ni malighafi kwa mweupe.
Hivyo basi, kaka na dada zangu hebu tuungane kumpiga vita huyu mweusi.
Napiga mbiu kwa Africaners wote kujitokeza kwa hali na mali kupigana
vita hii. Kwa hakika mungu hawezi kuwatupa watu wake ambao ni sisi. Hadi sasa
imeonekana kwa vitendo kuwa weusi hawawezi kujitawala. Wape bunduki kama hawataanza kuuana.
Hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza
ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu
mweusi ni alama ya umskini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa
ushindani. Hivi hapo je, si kweli kwamba mtu mweupe aliumbwa ili
kumtawala mtu mweusi? Hivi utajisikiaje unaamka asubuhi unakuta Kaff*ir
amekaria kiti cha utawala? Hivi unajua kitakachotokea kwa wanawake wetu? Hivi
kuna mtu anaweza kwamba mweusi ataitawala nchi hii.
Kwa hiyo tuna sababu nzuri ya kuwapeleka akina Mandela jela waozee huko
na katika hili nadhani upo umuhimu wa kupewa pongezi kwani tungekuwa na uwezo
wa kuwaangamiza lakini sasa wanaishi.
Napenda kuwatangazia mikakati mipya ya kuwaangamiza hawa weusi. Tutumie
sumu kuwamaliza.
Kamwe tusirushusi idadi ya watu weusi iendeleekukua vinginevyo
tutakwisha. Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na sehemu kubwa ya
mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua za
kuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuwaangamiza weusi.
Sehemu nzuri za kuwaangamiza kwa sumu ni hospitali na pia katika
usambazaji wa chakula inaweza kutumika. Tumetengeneza sumu inayoua taratibu na
kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini hofu yetu ni kwamba itakuwaje kama sumu hiyo
itaangukia mikono yao.
Hata hivi tunafanya kila yuwezalo kuhakikisha kuwa sumu hiyo inabaki
katika himaya yetu. Pili, watu weusi wanapenda sana pesa kwa hiyo tunaweza kuwatenga kwa
njia hiyo. Wataalamu wetu wanalifanyia kazi suala hilo ili mtu mweusi amchukie mweusi mwenzake.
Hawana upeo wa kufikiri na huyo ndiye kiumbe dhaifu kisicho na akili ya
kuona mbali.
Kuna umuhimu mkubwa wa kupanga mambo hayo yaendelee kwa muda mrefu ili
wasibaini kuwaua. Kwa kawaida mtu mweusi hapangi mikakati inayozidi mwaka
mmoja. Na hapa napenda niwaombe kina mama wa ki Afrikaner wazae kwa fujo
kuongeza idadi.
Litakuwa jambo la maana pia kama
kutatengwa vituo maalumu ambako vijana wa kike na kiume watakaa na serikali
kuwawezesha ili wazae kwa idadi kubwa iwezekanavyo ili kuongeza idadi yetu.
Wakati hilo likiendelea, lazima tuwabane watu weusi waachane na wake zao.
Ninayo kamati inayoratibu na inayoangalia njia nzuri ya kuwafanya watu
hawa wachukiane na wauane wenyewe kwa wenyewe. Adhabu kwa mweusi aliyemuua
mweusi iwe ndogo ili kuwapa hamasa ya kuendelea na mauaji.
Wanasayansi wangu wameshauri pia kuna ulazima wa kuwawekea sumu kwenye
pombe, sumu ambayo itakuwa inawaua taratibu na kumaliza uwezo wa kuzaa pia.
Njia kama hii na nyingine zifananazo na hii itawarahisisha kuwapunguza idadi.
Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtu mweusi anapenda sana mwanamke mweupe. Hii ni nafasi nzuri
kwetu. Wanawake wetu warembo wanaotumika katika mbinu za kuwaangamiza wapinzani
wetu watatumika kuwaua hao wanaopinga ubaguzi wa rangi.
Hili jeshi letu la mwituni la mapenzi huku tukiwa na jeshi kama hilo kwa upande wa
wanaume ambao watatafuta wanawake weusi. Pia serikali imeagiza Malaya kutoka
Marekani na ulaya kwa ajili ya kukidhi haja yao.
Ombi langu la mwisho ni kwamba wajawazito wanapozaa hospitalini, watoto
lazima wauwawe pindi tu wanapotoka tumboni. Hatuwalipi wale wauguzi kwa ajili
ya kutuletea watoto weusi katika dunia hii bali kuwaangamiza.
Serikali yangu imetenga fungu maalumu la pesa kwa ajili ya kufanikisha
mpango huo. Pesa inafanya lolote na kwa vile tunazo tuzitumie ipasavyo.
Kwa muda huu ndugu zangu weupe, msiyaweke moyoni wala msione aibu kuitwa
wabaguzi na wala sijali mhandisi wa Mfalme wa ubaguzi.
Siwezi kugeuka nyani eti kwa sababu mtu kaniita nyani. Nitabaki kuwa
nyota inayong’aa ….mtukufu Botha.
Leo naondoa mawingu; kesho nitajalibu mlima”.
HABARI HII ILIWAI KUTOLEWA NA GAZETI
LA RAI, OKTOBA 19-25, 2006. UK.
17.
IMELETWA KWENU NA Ausi Chiwambo-Mbeya
No comments:
Post a Comment