Vyama
vya siasa kunishambulia sio jibu la matakwa ya kisheria ya kutaka vikaguliwe.
Msajili wa vyama hana taarifa za ukaguzi. Nape anapiga kelele kuwa
wamekaguliwa, anafanya siasa kwenye masuala ya kisheria. Kama anazo taarifa za
ukaguzi zilizokaguliwa na CAG apeleke kwa Msajili sio kupiga kelele. Mimi
nafuata sheria na kanuni za Bunge zinazotaka kusimamia matumizi ya fedha za
umma. Ruzuku ni fedha za umma.
from JamiiForums
No comments:
Post a Comment