Wednesday, February 13, 2013

PANYA KITOWEO CHA BAADHI YA WATANZANIA

Hii ni picha ya Mama Akishughulikia kitoweo cha Panya ipasavyo. Kwenye panya hakuna mgogoro wa kuchinja kwani kwao ni halali. Hakuna dua, wala mgogoro wa kuchinja

No comments: