Monday, August 26, 2013

SOMO LA CHIWAMBO KWA VIKUNDI VYA ULINZI WA MAJUMBANI NA MAOFISINI

Imekuwa kawaida kuona majumba mbalimbali yanalindwa na Walinzi wa aina Mbalimbali huku Baadhi ya walio wengi hawajasomea hata mgambo. Katika hali ya kawaida huyu mlinzi anayeonekana hapo mbele hana sifa ya kuwa mlinzi wa nyumba hata bomba la maji.

Katika mbinu za ulinzi amezikosa na matokeo yake ndio haya. Pia mlinzi mmoja kulinda masaa 12  si njia mzuri katika ulinzi na matokeo yake ndio haya kama inavyooneka. Ili kuthibitisha kwamba huyu hana mafunzo yeyote ya jeshi wala mgambo ni namna alivyoiweka siraha hiyo kana kwamba ni upupu. Hali ya kawaida tulitegemea aibebe na kuifunga mkononi tayari kwa kujiami, pia hata ulalaji huu ni hatari sana, mlinzi anatakiwa kulala huku amekaa

No comments: