Sunday, August 11, 2013

AINA ZA NYUMBA ZINAZOPATIKANA MIKOA YA KUSINI MWA TANZANIA; RUVUMA, MTWARA NA LINDI


Asilimia kubwa ya Wakazi wa Kusini maeneo ya Vijijini hutumia Nyumba za nyasi kama Makazi yao ya kudumu. Kwa sasa Nyumba hizo huezekwa juu ya paaa na pia Baadhi ya Wale wasiojiweza kiuchumi Hutumia nyasi kutengeneza kuta za Nyumba pamoja na paa zake. Hii inaonyesha namna gani umaskini ulivyokithiri maeneo ya kusini mwa Tanzania ile hali zikuziona jitihada za kupunguza tatizo la umaskini maeneo hayo.

Kila kitu huko vimesauliwa; Bbarabara Mbaya, Huduma za jamii kama vile Shule na Maji ni shida kweli kweli, Umeme kule vijijini ni ndoto kabisa, Bei ya mazao ni chini kupita kiasi. Tuitazame kusini na viongozi wetu. Sisi na wale sote ni Watanzania. Hivi kwanini tunakosa mahitaji muhimu kule Tunduru au tu nje ya dunia hii hasa Tz

No comments: