Sunday, August 25, 2013

Maelfu na maelfu ya watu wakusanyika Washington kuadhimisha nusu karne tangu Martin Luther King Jr kutoa hotuba ya kihistoria "I Have a Dream" kupigania haki za kiraia.

Marekani yaadhimisha miaka 50 ya maandamano kuelekea Washington

No comments: