Wednesday, August 21, 2013

MANENO YANGU YA LEO KWENU

Ausi Chiwambo Mmiliki wa Chiwambo's blog Nipo katika Tafiti kuhusu maisha ya Vijana na Watoto Wadogo na kutambua haya machahce niliyowaletea.

Shwali?
Je umewahi kujiuliza kwanini watoto yatima hutoroka vituo vya kulelea watoto yatima? Au umewai kujiuliza kwanini Watoto wadogo hukimbia majumbani kwao na kwenda kuanzisha maisha mapya ilehali umri wao ni mdogo?

Leo napenda kujibu maswali haya, "Sababu kubwa ni kukosa upendo kutoka kwa Walezi. Kama watoto watalelewa vizuri na kutawala upendo basi kuna uwezekano wa mkubwa wa watoto hao kudumu katika vituo vya kulelea watoto yatima au majumbani.

Kwa mfano, Wewe una mtoto wako au kwa jirani yako, mtoto anatambaa kuja kwako na wewe unamnyoshea kidole kuwa wewe wewe, lazima mtoto huyo arudi na kwako atakuwa kama kituo cha polisi. Hakuna mtu yeyote anayependa kudharauliwa katika maisha yake, hata mtoto ukimdharau atakutemea mate au kukufyonza.

CHIWAMBO 

No comments: