Tuesday, December 17, 2013

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI UNIVERSITY WAKAMILISHA ZIARA YAO YA KUTEMBELEA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU HAPA JIJINI MBEYA

 PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI WA SOSHOLOGIA HAPA CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI BAADA YA KUMALIZA ZIRA ZA KUWATEMBELEA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU PAMOJA NA MAENEO MUHIMU HAPA JIJINI MBEYA. Picha Na Ausi Chiwambo.
 PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI WA BA SOCIOLOGY AND SOCIAL WORK CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI UNIVERSITY. Powered by APP under Chiwambo's Blog
 PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI WA BA SOCIOLOGY AND SOCIAL WORK CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI UNIVERSITY. Picha na Chiwambo
Wanafunzi wa Kitivo cha Soshologia hapa TEKU University wakishuka kwenye Basi baada ya Kumaliza Ziara yao. Picha na Chiwambo.

No comments: