Tuesday, December 17, 2013

SAFARI YA BASO TEKU UNIVERSITY ILIANZIA HAPA SIKU YA LEO 17 DECEMBER 2013

 Usipate shida kuuliza. Mwenye shati Jeupe na suruali nyeusi ndiye Mmiliki wa Chiwambo Blogu, Wa kwanza miongoni mwa waliosimama kutoka kulia ni Ausi Chiwambo, Khamis Mohamed, Bugoya Ally (CR wa BASO), Mwakalundwa Lusajo, CR Msaidizi Sara Samwel, na Siwingwa Josephat. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Tabitha Swila, Chowo Orestes na Mgendwa Alphonce


 Usipate shida kuuliza. Mwenye shati Jeupe na suruali nyeusi ndiye Mmiliki wa Chiwambo Blogu ndugu Ausi Chiwambo

No comments: