Tuesday, May 21, 2013

TATIZO LA KUPORA MAFUTA KWA GARI LA MAFUTA LILILOPATA AJALI IMEKUWA NI UTAMADUNI WA WATU WA MBEYA. HUU NI UTHIBITISHO WA PICHA SIKU MBILI ZILIZOPITA NA IKUMBUKWE KWAMBA MIAKA YA NYUMA AJALI YA NAMNA HII ILIUNGOZA NA KUUWA WATU WENGI HAPA MKOANI MBEYA









Hizi ni picha la tukio zima la uporaji wa mafuta baada ya kutokea ajali ya gali la mafuta
Source:demashonews.blogspot.com

No comments: