MWANAHARAKATI NA TANZANIA YA LEO
Hapo mwanzo katika kijiji kimoja kulikuwa na vijana
wenye nguvu na waliopigania nchi yao
kuwa huru. Nchi hiyo ilijulikana kwa jina la Kuabudika, na ilikuwa na miji
mikubwa kama sita. hali ya jiji la kwanza
ilikuwa sawa na yale mengine. kila kukicha nchi hii maarufu kwa utajili wa kila
aina ilibadilika. maisha yalikuwa bora ya jana kuliko leo kikicha. nimesahau
kuanza na neno hili "hadithi hadithi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!" hadithi
hadithi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!".
yale majoho waliyozoea kuvaa kila siku wale wenye
nazo ilifikia mahali bei ilipanda kiasi kwamba kama ni mfanyabiashara
ndogondogo ununuapo joo moja fedha za mtajiulikuwa kwaheli. watu walilalamikia
juu ya nchi yao. Nchi hii ilikuwa na sifa kubwa yenye viongozi wanaotabili nini
hapo baadaye kitatokea na nani aondolewe wapi hapelekwe wapi. kiongozi
aliyeamishwa akikataa kufanya hivyo hatima yake ilikuwa ni kifo tu.
Hali ilikuwa vile hadi walipozaliwa watoto mapacha
watatu waliofanana kwa kila sifa. walikuwa wakakamavu, wazuri, wenye nia ya
kukomboa nchi yao na walitembea wakati wote pamoja. walitumia muda wao wote
kusoma kuanzia darasa la kwanza hadi la nane wakiwa na wazazi wao wateule.
watoto hawa walipendana sana, walivaa sare vizuri ijapokuwa uwezo wao ulikuwa
mmmmmmmmmmm.
Mungu aliwabaliki wale watoto watatu na kufahuru
darasa la nane shule ya msingi Majaribu iliyoko wilaya ya Chinyauleje kata ya
Kweko. walichaguliwa kuingia kidato cha kwanza na kumaliza kidato cha nne shule
ya sekondari Achimwene. mungu aliwabaliki kusomea masomo ya uasikari katika
kikosi maalumu. majina ya wale wote yalikuwa "HUZUNI, AMANI NA
UTULIVU". baadaye walifanikiwa kwenda kikosi kingine cha masomo ya juu ya
uasikari na kuwa makomando wa jeshi.
Hawakulidhika na mishahara waliyopewa kwani walikuwa
na ndoto ya kuikomboa nchi yako. Vijana hawa waliamua kuacha kazi na kuendelea
na masomo ya chuo kikuu. walisoma chuo kikuu cha Mwanaharakati kilichopo nchi
nyingine ya Ahadi. walisoma masomo ya "BA-political science and
International Relatioship".
baada ya kutunukiwa Shahada zao walirudi Nyumbani
Nchi ya "Kuabudika". siku ile ilikuwa siku ya ajabu kubwa sana.
vijana walifuatwa na ndege ya Wanamapinduzi. safari ilianza saa sita mchana.
safari ile ilikuwa ni ya siku mbili. waliingia nchini mwao mnamo saa 8.00
mchana. nchi ilianza kutikisika ghafla kabla ndege kutua uwanja maarufu wa St.
Ambuje. Mchana kukawa giza nene kama manane ya usiku. nchi ilikuwa nyeusi
ikiashiria kuingia kwa wakombozi watatu kutoka Mwanaharakati university.
Ndege ilitua chini, ghafla mchana ulilejea. Kiongozi
wa nchi lle maarufu kwa jina la NJETE JA KWEKULA", ALIAGIZA VIJANA WALE
WATATU WAUWAWE HARAKA IWEZEKANAVYO KWANI MTABRI WAKE MAARUFU ALITABIRI KUWA
VIJANA WALE WA WATATU MMOJA KATI YAO ATAKUWA MTAWALA WA NCHI LE.
ikumbukwe kuwa yule raisi alijiweka madarakani ni
kiongozi wa maisha. hakukuwa na uchaguzi wa rais katika nchi ile, yeye aliteua
wabunge na viongozi wote wa serikali. yeye ndiye Hakimu na jaji mkuu wa nchi
ile. na wazizi wa wae watoto waliuawa na rais wakati watoto hawa wakiwa
wachanga sana baada ya rais wa nchi hiyo kuwatuhumu kwa kutaka kufanya
mapinduzi.
Wakiwa uwanja wa ndege wale vijana watatu waliwekwa
chini ya ulinzi na kikosi maalumu cha makomandoo. ilikuwa patashika vijana wale
kukamatwa. vurugu kali ilitokea. na wakati huo huo watu walikuwa wamejaa
barabara zote kuzunguka kiwanja maarufu cha ndege. barabara zote zilijaa watu
kwa kuwa waliona wanamapinduzi walikuwa wanaingia siku ile. vijana wale walitakiwa
kuzungumza na wananchi ili kuzungumzia nini hatima ya nchi yao ambayo uchumi
ulishuka kiasi kwamba thamani ya fedha ilishuka hata mkate ulikuwa haushikiki
kwa bei mbaya.
wote watatu walikamatwa palepale uwanja wa ndege na
kupandishwa ndege maalumu ya jeshi na ndege kupaa tena kuelekea uwanja wa
dhambi tayari kwa kunyongwa kama hukumu inavyonesha.
wakati ule vyombo vya habari vilikata matangazo
ghafla. wananchi walishangaa sana kuona mgeni wao anapandishwa ndege ya
kijheshi na kupaa juu. ghafla mabomu ya machozi yalianza kuvuma huku na kule.
watu waliuwa sana. yale yalikuwa mauaji makubwa kuliko yote Tangu nchi ile
Iumbwe na Mwenyezi Mungu.
watu waliuwawa makanisani, misikitini, mitaani na
maeneo yenye mkusanyiko. hali ilikuwa mbaya tena mbaya sana. watu milioni moja
waliuwawa. hapo ndipo sheria mbaya zaidi zilivyoongezeka. katiba ya nchi
ilibadilishwa na kunyima uhuru wa vyombo vya habari, maandamano pamoja na
mikusanyiko.
siku ile ya mauaji umji ulijaa maiti kiasi kwamba
watu walisema leo ndio mwisho wa dunia. Miezi ishirini na nne ilipita, hatima
ya nchi haijulikani. wannchi hawajui wale wakombozi wao wamepelekwa wapi. na
mtu hana haki ya kuongea juu ya mstakabali wa nchi yao. watu waliamini mungu
ndiye aliyesababisha hali hiyo ya nchi. nchi ilikuwa maskini ya mwisho katika
dunia ile. watu waliishi bora jana kuliko leo na walikuwa wanasubiri kufa tu
maana hakukuwa na namna ya kuwezakuendesha nchi yao.
vijana wale baada ya ya safari ya siku mbili
wafikishwa msitu mnene wa "CHIKANJE". msitu ule watu huwa ni chakula
cha wanyama. wale askari waliopewa kazi ya kuwanyonga wale vijana watatu,
walianza kuwaambia kuwa "nyinyi mlikuwa ni makomandoo wa jeshi, mliacha
kazi ya uasikali kwenda masomoni ili kuikomboa nchi yetu. na rais wa nchi hii
ametoa amri ya kuuawa kwenu. mnatakiwa muuawe mara
moja.................................................................................................................
ni amri.
mungu si athumani. mungu amtupi mja wake. wale
asikari wanyongaji walikaa kikao cha ghafla. loo!!!!!!!!!!!!. askari mmoja
alisema "haiwezekani watu hawa wauawe". mmmmmmmmmm! la hasha!!!!!
penye nia pana njia. askari walitafakari na kufikia hatima ya wale vijana
watatu. askari wale waliamua kuwaachia huru wale vijana watatu kwa masharti
maalumu.
Walikaa kikao cha ghafla na wale watuumiwa watatu.
waliwafungua pingu na kuanza kupanga mikakati ya kuipindua nchi. waliweka kila
njia na mipangoyote ilikaa vizuri. walipanga wale watakuwa na ulinzi wa jeshi
la nchi hiyo. katika mikakati yao ilikuwa ni kumteka kiongozi wa jeshi wa nchi
ile na kisha kumalizia kwa rahisi. haraka haraka haina baraka, mmoja wa askari
kwa cheo cha Copro Antinion Mwangatu-mbujiko. kazi ilianza mara moja.
kama mungu alipanga hivi. wananchi wa nchi ile
waliamka asubuhi bila ya kuamshwa na kuanza kuandamana bila ya kiongozi. kila
kijiji, katani, wilaya ,miji na majiji yaliandamana. watu walikuwa wachungu
kama pilipili kichaa. Habari ndiyo hiyo kila kona ya jiji. Wananchi walibeba
mabango yaliyoandikwa "MAPINDUZI NI LAZIMA, RAIS HATUKUTAKI, LAZIMA
UONDOKE, PIGA UA GALAGAZA NCHI HII SI YAKO, RAIS ONDOKA TUPATE AJIRA NA mengine mengi". kumbe hali ile
ilitengenezwa na jeshi la nchi ile na wale vijana watatu wa chuo kikuu.
Askari wote wa nchi waliwatetea wananchi, hakuna
aliyeuawa na askari kama ilivyokuwa mwanzo, katiba haikufuatwa kwa askari
kuruhusu wananchi waandamane, na kuwapa mabango. kipindi wananchi wakiandamana
jeshi la nchi hiyo ilimteka kamanda wa jeshi la nchi hiyo Meja General MWE ULI.
Rais alishangaa ghafla kuona wananchi wanakaribia
kasili wakiwa na mabango ya ya maandamano pamoja na silaha kali wakisindikizwa
na jeshi la nchi hiyo huku ndege za jeshi za kiita zisizo na rubani na zenye
rubani zikiwa na siraha nzito nzito ikiwemo mabomu mazito mazito.
wananchi wa nchi ile walifanikiwa kuiteka ikuru na
kumchoma moto Rais wa nchi ile. habari yake iliishia pale. mara ya mwisho yule
rais kabla ya kifo chake alisema "KWELI NGUVU YA
UMMA..................................................................................................................................................................."
LEO HII NAUKUMIWA BILA KUTAKA KISA UONGOZI WANGU
ULIKUWA MBAYA" MUNGU NISAIDIE NIFIKA PAHALA PEMA PEPONI" Wananchi
walisema "ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee" wengine walisema
Amina".
POWERED BY CHIWAMBO AUSI R, TEKU UNIVERSITY, 2012
No comments:
Post a Comment